Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la
Magereza mara baada ya kuapishwa rasmi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Magereza, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokelewa na Maafisa Waandamizi wa
Jeshi la Magereza alipowasili Makao Makuu ya Jeshi hilo baada ya kuapishwa
rasmi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Februari 6, 2017.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokea salaam ya heshima toka katika
Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari(hawapo pichani) kwa ajili
yake kwa heshima.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akikagua Gwaride Maalum lililoandaliwa
na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza kwa ajili yake kwa heshima kama
inavyoonekana katika picha.
Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga(kulia) akiteta jambo na
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa kabla ya kuongea na Maafisa na
askari wa Jeshi hilo Makao Makuu ya Magereza mara baada ya kutoka kuapishwa
kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.
Baadhi
ya Askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutoka kuapishwa kuwa
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6,
2017.
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi
la Magereza wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa
Magereza, Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutoka kuapishwa kuwa Kamishna
Jenerali wa Jeshi hilo, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongea na Maafisa, askari na Watumishi
raia wa Jeshi la Magereza baada ya kutoka kuapishwa kuwa Kamishna Jenerali wa
Jeshi hilo, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.
Sehemu
ya familia ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa
waliohudhuria kuapishwa kwake leo Ikulu, Dar es Salaam wakiwa katika picha ya
pamoja(katikati) ni Mke wa Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo Bi. Fatuma Malewa.
(Picha
zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).









0 Comments