
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira, akiongoza kikao cha ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo
ndani ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini
Dar es Salaam.

Kamishna
wa Jeshi la Magereza Divisheni ya Utawala na Fedha,Gaston Sanga, akitoa
maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira, wakati wa kikao cha ndani kilichoshirikisha
Idara zilizopo ndani ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi
wa wizara, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna wa Fedha Jeshi la
Polisi Albert Nyamuhanga.

Mkurugenzi
wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke na Afisa Tawala wa Idara
hiyo,Jenita Ndone(Kulia), wakifuatilia kwa makini kikao cha ndani cha
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa
wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Regasira (hayupo pichani) .Kikao
hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.

Maafisa
kutoka idara ya Uhamiaji wakifuatilia mazungumzo yaliyokuwa yakitolewa
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali
Projest Rwegasira(hayupo pichani) wakati wa kikao cha ndani
kilichoshirikisha Idara zilizopo ndani ya wizara. Kikao hicho
kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 Comments