Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,
akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Watanzania wanaorudishwa nchini
kutoka Msumbiji. Rwegasira amesema Uhusiano kati ya Tanzania na Msumbiji unaendelea
kuimarika kila siku, hivyo aliwataka Watanzania wafuate Sheria za Uhamiaji za
nchi hiyo kwani zoezi linalofanyika nchini humo halijawalenga Watanzania pekee
bali raia wote wanaoishi na kufanya kazi bila kufuata taratibu za kisheria
nchini humo. Aidha, amewataka wananchi kutolikuza tukio hilo bila sababu za
msingi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es
Salaam leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,
akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Watanzania wanaorudishwa nchini
kutoka Msumbiji. Rwegasira amesema Uhusiano kati ya Tanzania na Msumbiji
unaendelea kuimarika kila siku, hivyo aliwataka Watanzania wafuate Sheria za
Uhamiaji za nchi hiyo kwani zoezi linalofanyika nchini humo halijawalenga
Watanzania pekee bali raia wote wanaoishi na kufanya kazi bila kufuata taratibu
za kisheria nchini humo. Aidha, amewataka wananchi kutolikuza tukio hilo bila
sababu za msingi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini
Dar es Salaam leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment