Random Posts

KUFUATIA KUKITHIRI KWA KWA MIGOGORO YA ARDHI JIJI LA MBEYA MKUU WA MKOA AUNDA KIKOSI KAZI CHA WATALAAM KUSHUGULIKIA MIGOGORO YA ARDHI

 Atangaza kikosi cha watu nane kutoka nje ya halmashauri ya Jiji kinajumuisha watalaam ardhi ofisi YA Mkuu wa Mkoa, halmashauri Mbeya Dc  , wanasheria na vyombo vya Dola 
 Kikosi kazi kitaanza  kwa AWAMU YA kwanza kitashughulikia MIGOGORO ya ardhi Kata ya ITEZI na MWAKIBETE 
 MIGOGORO mingi ktk jiji la Mbeya ni kutokana na kutolipa fidia, umilikishaji watu zaidi YA mmoja ktk kiwanja kimoja na Baadhi YA wawekezaji kutoendeleza maeneo yao kwa muda mrefu

 AMALIZA mvutano wa umiliki wa soko kati YA Ccm na serikali YA mtaa na kata. Kwa mujibu wa hati za kiwanja Ccm ni wamiliki halali kwa kuwa na hati Bambi 81 BB Mkuu wa Mkoa  wa Mbeya leo amefanya mkutano kata YA ITEZI kwa kupokea kero mbalimbali kutoka kwa wananchi kuhusiana na Mgogoro wa wananchi na wamiliki wa ardhi maeneo YA viwanda aidha ametangaza kikosi kazi kushughulikia migogoro vya ardhi jiji la Mbeya na awamu YA kwanza kikosi kazi kitafanya kazi kata za Iteze na MWAKIBETE hivyo amewaomba wananchi kutoa ushirikiano amekipa kikosi kazi muda wa siku 14 kushughulikia migogoro kata hizo mbili na watoe ushauri wa namba YA kumaliza MIGOGORO iliopo

Post a Comment

0 Comments