Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila
Mkila akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Aga Khan wakati wa mahafali
yaliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
.......................
Picha zote na Philemon Solomon-Fullshangweblog
Wahitimu wa chuo kikuu cha Aga Khan wakiwa wamekaa kwautulivu
wakimsikiliza Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila katika
mahafali ya chuo hicho.
Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila
Mkila (wa nne kushoto) pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa.
Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul
akikabidhi vyeti kwa baadhi ya wahitimu
wa chuo hicho.
Wazazi pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika
mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila
Mkila (kulia), na Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul (kushoto) ,wahitimu
wa Chuo kikuu cha Aga khan wakitoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam baada ya mahafali hayo kwisha.




0 Comments