Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye
uwanja wa michezo wa Kiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara,
Februari 15, 2017.
Wananchi wa Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipowahutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto
Februari 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka Mzee Mbambire Oloi
Kurukur, jani la mti ikiwa ni ishara ya amani ya kukomesha mapigano kati
ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto kabla ya kuhutubia mkutano wa
hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto, Februari 15, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Katibu wa Baraza la
Amani la Kiteto, Salum Mambo, jembe la asili ikiwa ni ishara ya
kukoma kwa mauaji kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto katika
mkutano wa hadhara aliouhutubi kweye uwanja wa michezo wa Kiteto,
Februari 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment