Wananchi wapongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla kwa uamuzi wa kufika eneo Lao kwani ni kero ya miaka 7
Vifusi vyaanza kusombwa na ujenzi wa karavati kuanza keshokutwa lengo ni kuwanusuru wananchi na Maji ya mvua kuingia majumbani na pia kuwezesha bajaji, bodaboda na magari kutoa huduma
Akagua Barabara
zinazojengwa na kuutaka uongozi wa jiji
kutokupokea Barabara zitakazojengwa chini ya kiwango
Atambelea
maeneo Muhimu ya jiji kujionea
utekelezaji wa maagizo yake ikiwemo kutofanya biashara na shughuli za kijamii
kwenye HIFADHI YA Barabara, kuweka jiji safi ,
kutengeneza bustani za kupendezesha jijij,na kupunguza msongamano wa
magari
Akabidhi vituo
viwili vya kuhamishika kwa ajili ya
askari wa usalama barabarani
AWASHUKURU
wananchi kwa kumuunga Mkono katika MIKAKATI YA kuliweka jiji la Mbeya safi
No comments:
Post a Comment