Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwananchi, Bi. Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero ya masuala ya mirathi anazozipata katika mahakama mbele yake wakati wa sherehe za Kuzinduz Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama Mtaa wa Chimala Ocean road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Jaji Kiongozi Mhe Ferdinand Wambali akichukua melezo ya mwananchi, Bi.
Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero ya masuala ya mirathi
anazozipata katika mahakama mbele yake wakati wa sherehe za Kuzinduz Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama Mtaa wa Chimala Ocean road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
PICHA NA IKULU




0 Comments