Random Posts

PICHA MBALIMBALI KAMPENI UCHAGUZI MDOGO KITONGOJI MAGOMENI B

 Katibu wa UWT wilaya ya Bagamoyo,Mwatabu Hussein (kulia)aliyemshika mgombea wa uenyekiti kitongoji cha Magomeni B Rajabu Swedy,wakishangilia baada ya kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa kitongoji hicho.
(Picha na Mwamvua Mwinyi)
 Mwenyekiti wa UWT Bagamoyo,Apsa Kilingo akizungumza jambo wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo kitongoji cha Magomeni B,kata ya Nianjema.(Picha na Mwamvua Mwinyi)
 Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ya CCM ,wilayani Bagamoyo,Abdul Sharif ,ambae pia ni meneja kampeni wa uchaguzi mdogo kitongoji cha Magomeni B,kata ya Nianjema,akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa kampeni hizo.(picha na Mwamvua Mwinyi)
Mwenyekiti wa CCM Bagamoyo,Almas Maskuz wa kulia akimnadi ,mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji cha Magomeni B kata ya Nianjema wa kushoto Rajabu Swedy .
(picha na Mwamvua Mwinyi)

Post a Comment

0 Comments