Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party
aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari
10, 2017
Sehemu ya waalikwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya
kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na
wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano
wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party
aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari
10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party
aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari
10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika picha ya pamoja na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia
mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi
wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za kimataifa
wanaowakilisha nchini katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya
Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya
kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika picha ya pamoja na maafisa wa wizara ya mambo ya Nje na
Ushirikiano wa kimataifa walioandaa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya
Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya
kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhiya mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali nchini
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia
mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi
wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017.
PICHA NA IKULU

0 Comments