Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo katika
semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake,
[Picha na
Ikulu.] 01 /02/2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akifungua semina ya siku moja kuhusu Umuhimu wa
Takwimu na Utekelezaji wake kwa Viongozi mbali mbali katika Ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo,(kushoto) Makamo wa Rais
Balozi Seif Ali Iddi na katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Kiongozi Dkt.Abduhamid yahya Mzee (kulia).
[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Mtakwimu
Mkuu wa Serikali Bibi Mayasa Mahfoudh Mwinyi alipokuwa akitoa Muhtasari
wa Majukumu ya Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika Upatikanaji wa
Takwimu na Utekelezaji wake katika semina ya viongozi iliyofanyika leo
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mjini Unguja,
[Picha na
Ikulu.] 01/02/2017.
waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed alipokuwa akitoa mchango wake katika semina
ya siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na Utekelezaji wake kwa
Viongozi mbali mbali wa Serikali iliyofanyika leo katika Ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,
[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,
[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,
[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,
[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.







0 Comments