Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof. Egid Mubofu akizungumza na waandishi wa
habari hawapo (pichani) kuhusu mafanikio ya Shirika hilo tangu Serikali ya
awamu ya Tano iingie madarakani,Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bi
Roida Andusamile na kushoto ni Afisa Uhusiano Msaidizi Bi Neema Mtemvu.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof. Egid Mubofu akizungumza na waandishi wa
habari hawapo (pichani) kuhusu mkakati wa shirika hilo kudhibiti uingizwaji na
uzalishaji wa bidhaa hafifu hapa nchini.kushoto Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bi Roida
Andusamile.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia Mkutano
wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) uliofanyika leo Jijini Dar es salaam ukilenga
kueleza mikakati ya shirika hilo katika kutoa huduma bora kwa wananchi na
kuchochea ujenzi wa uchumi wa Viwanda.
(Picha na Frank Mvungi-Maelezo).
No comments:
Post a Comment