Subscribe Us

header ads

UPEPO WAZIDI KUMBADILIKIA YUSUFU MANJI

 Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule akiwaonesha waandishi wa habari PSSPORT  15 zilizokuwa zinamilikiwa na Raia wa Uganda Bi, Aisha Taub aliekamatwa katika Hotel ya Lamada ilioko Ilala jijini Dar es Salaam kwa kosa la kumiliki Passprt hizo.
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule akiwaonesha waandishi wa habari PSSPORT  25 zilizokuwa zinamilikiwa na wafanyakazi wa Kampuni ya Quality Group kimakosa.

Pia Kikosi cha uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza na kumchukulia hatua Mwenyekiti wa klabu ya Yanga na mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Group, Yusufu Manji kwa kosa la kuajiri wafanyakazi toka nje ya nchi wasiokuwa na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini kinyume cha sheria.


PICHA  NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG

Post a Comment

0 Comments