Kufuatia
agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuwataka baadhi ya
mastaa wanaoshukiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya madawa ya
kulevya kuwasili kituo cha polisi cha kati siku ya leo baadhi ya mastaa
wametii agizo hilo na kuwasili.
Wema
Sepetu ambaye alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotuhumiwa na Mkuu wa
Mkoa wa Da es salaam Paul Makonda kwamba anatumia Madawa ya kulevya,
amewasili kituoni hapo huku akiwa amevalia vazi la hijab.
Wasanii wengine waliofika kituoni hapo ni pamoja na TID, Nyandu Tozzy pamoja na mtangazaji wa Clouds TV Babu wa Kitaa.
TID akiwa kituoni hapo





0 Comments