Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabulla
Akifafanua Namna Fomu ya Umiliki Ardhi
inavyo tumika ili kupata taarifa za awali za Mwananchi anaye andaliwa Hati ya
Kumiliki Ardhi mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira
na Wananchikatika kijiji cha Mikoleko
Wilaya ya Kilombero- Morogoro
Mratibu
wa Mradi wa Kuwezesha Umilikishaji wa Ardhi Godfrey Machabe akisoma Ripoti ya maendeleo ya mradi huo mbele ya Wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya Mradi huo Wilayani Kilombero-Morogoro
Mwenyekiti
wa kijiji cha MikolekoWilaya ya kilomberoakielezea ushiriki wa Wanakijiji
katika zoezi la kumilikisha ardhi ndani ya kijiji hicho Mbele ya Wajumbe wa
kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili na Mazingira.



0 Comments