
Mwenyekiti
wa kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (Mb)
(aliyesimama) akizungumza na wajumbe wa Kamati hiyo wakati
ilipotembelea Azam Media jana Jijini Dar es Salaam.Wa pili kulia ni
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.Na
kushoto ni Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Zungu.

Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
(aliyesimama) akiwaeleza jambo wajumbe wa kamati ya Bunge ya Maendeleo
ya Jamii wakati Kamati hiyo ilipotembelea Azam Media jana Jijini Dar
es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Azam Media Bw.Tido Muhando.

Mkurugenzi
wa Azam Media Bw. Tido Muhando (aliyesimama) akiwaeleza wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii (hawapo pichani) utendaji kazi wa
Chombo hicho wakati Kamati hiyo ilipotembelea Azam Media jana Jijini
Dar es Salaam.Wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura.

Mjumbe
wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii ambae pia ni Mbunge wa Jimbo
la Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile akizungumza jambo kwa Kamati hiyo
na uongozi wa Azam Media wakati Kamati ilipotembelea chombo hicho jana
Jijini Dar es Salaam.

Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wa kwanza
kushoto akizungumza na wasikilizaji wa Uhai Radio wakati Kamati ya
Bunge ya Maendeleo ya Jamii ilipotembelea studio hizo jana Jijini Dar es
Salaam.

Baadhi
ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii wakimsikiliza
Mkurugenzi wa Azam Media Bw. Tido Muhando(hayupo pichani ) wakati Kamati
ilipotembelea chombo hicho jana Jijini Dar es Salaam.
0 Comments