Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu
Mjini Unguja kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,
[Picha
na Ikulu.] 20/03/2017.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika
Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kujitambulisha leo akiwa na ujumbe
aliofuatana nao,
[Picha na Ikulu.] 20/03/2017.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
akifuatana na mgeni wake Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania
Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha
kwa Rais akiwa na ujumbe aliofuatana nao
,[Picha na Ikulu.] 20/03/2017.



0 Comments