Mtumishi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Deograsius Michael, akiwa na
Kitambulisho cha Taifa ili kuhakiki taarifa zake za kiutumishi.
Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA
Serikalini, Bw. Priscus Kiwango akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI, Bw. Ibrahim Mahumi wakihakiki taarifa za Watumishi wa
Umma zilizowasilishwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa Umma na
Utawala Bora.
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI, Bw. Ibrahim Mahumi akiangalia taarifa za Watumishi
wa Umma zilizowasilishwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa Umma
na Utawala Bora.



0 Comments