Imani Kelvin Mbaga,Dar es salaam
Kuna msemo unaosema makocha huajiriwa ili kufukuzwa.
Msemo maarufu sana ambao kabla ya kuutumia ni lazima ujichunguze.
Mjadala unao endelea hv sasa kwa mashabiki wa Yanga ni kuondoka au kubaki kwa kocha mkuu GL ktk kikosi hicho
Bahati mbaya mashabiki hawataki “fact” wala takwimu ila mawazo yao ndo sahihi.
October Mosi mwaka Jana nilikuwa mmoja wa waandishi wa habari waliowahoji mashabiki wa Yanga baada ya mechi yao na watani wao ambapo walipata sare ya 1-1 Simba ikisawazisha kwa goli la Kichuya dkk ya mwisho.
Mashabiki wengi wa Yanga walisikika wakisema Babu kaishiwa mbinu ni mzito wa kufanya “sub” nk
Maneno yalikuwa mengi hadi akaondolewa na kuletwa Lwandamina.
Kupoteza michezo mbele ya Azam na Simba kwenye kombe la mapinduzi na ligi tayari wale wale waliomuona babu kaishiwa mbinu wamegeuka tena wanataka babu arudishwe sijuwi kama ni kwa mbinu zile zile au zingine hata sijuwi
Linalonifurahisha ni kwamba Yanga imejengwa juu ya wachezaji watano ambao nafasi zao hazizibiki ambao ni Bossou, Niyonzima, Kamusoko, Ngoma na Msuva.
Kadi au maumivu kwa wachezaji hawana unakua umeua timu yote na hili hata Hans alinukuliwa akilalamikia kuwa lilimgharimu katika mashindano yaliyopita hasa hatua ya makundi.
Tatizo hilo hilo ndilo analokutana nalo Lwandamina lakini MANENO YA MASHABIKI YANAFICHA UDHAIFU WA VIKOSI NA MFUMO WA USAJILI
#jioni njema

0 Comments