Random Posts

MBIO ZA NDOVU MARATHON -ZAFANA



 Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari wakiwa katika matembezi wakati wa mbio za Ndovu Marathon zilizofanyika jinini Dar es Salaa jumamosi machi 4, 2017  katika Viwanja vya Posta Kijitonyama lengo la mbio hizo ni kuongeza ufahamu na kuielimisha jamii kuhusu tatizo sugu la ujangili linaloikabili Tanzania na kuongeza mwamko kwa taasisi za kiraia katika kulinda tembo na wanyama wengine. 
Ambapo mgeni rasmi wa mbio hizo alikuwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande.
 Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji  ambaye  pia ni  Balozi wa Kupinga mauaji ya Tembo nchini Tanzania , Amon Mkoga (kushoto) wakiangalia mashindano ya mbio za mbioViwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam. za Ndovu Marathon katika 
  Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande (kusho) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiwa wameshika bango linaloelezea siku ya ya Siku ya Wanyamapori Duniani ni-Tusikilize Sauti za Vijana kwa kuwa mustakabali wa baadae wa Uhifadhi wa wanyamapori ,mimea na mazingira upo mikoni mwao.
 Wanafunzi wakishiriki mbio za Ndovu Marathon.
Mkurugenzi Mtendaji  ambaye  pia ni  Balozi wa Kupinga mauaji ya Tembo nchini Tanzania , Amon Mkoga (kushoto) akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande kuzungumza na wageni mbalimbali walioshiriki katika mbio hizo (katikati) Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande.
 Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande akizungumza wakati wa mbio za Ndovu Marathon zilizofanyika jinini Dar es Salaa jumamosi machi 4, 2017  katika Viwanja vya Posta Kijitonyama lengo la mbio hizo ni kuongeza ufahamu na kuielimisha jamii kuhusu tatizo sugu la ujangili linaloikabili Tanzania na kuongeza mwamko kwa taasisi za kiraia katika kulinda tembo na wanyama wengine. 
 Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Robert Mande akiendelea kusisitiza.

Meneja Masoko wa Red Bull Bw.Hanson Heddi(kulia) akisoma majina ya washindi walioshiriki mbio za Ndovu Marathon zilizofanyika jinini Dar es Salaa jumamosi machi 4, 2017  katika Viwanja vya Posta Kijitonyama mbio hizo lienda sambamba kuanzimisha siku ya Wanyamapori Duniani.

Post a Comment

0 Comments