Trekta ambalo linafanya kazi ya kukarabari barabara ya
Simu 2000
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John
Lipesi Kayombo akikagua
barabara ya simu 2000 ambayo ipo kwenye matengenezo ya dharura
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John
Lipesi Kayombo
akielekeza jambo kuhusu ukarabati wa barabara hiyo, Wengine ni Meneja wa stendi
ya Simu 2000 Bakari Shehoza na Injinia wa Ujenzi katika Manispaa ya Ubungo Ndg
Goodluck Mbanga
MD Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akisisitiza jambo


0 Comments