Hali ya usalama mgodini si Nzuri watu 4
wamepoteza maisha wiki moja iliopita
Aagiza
Kamati ya Ulinzi wilaya, kamishina wa madini, mwekezaji, uongozi wa kata,
kitongoji na wawakilishi 5 wa wananchi kukaa kwa pamoja kupata muafaka
Amwagiza kamishina wa madini kufuta leseni za
wataoshindwa kuendeleza na maeneo hayo wapewe wachimbaji wadogo
ATAKA
kamishina wa madini kukagua migodi na kuangalia usalama wa migodi
Atembelea
mgodi wa sunshine wawekezaji wahahidi kujenga zahanati Kijiji cha ITUMBI
No comments:
Post a Comment