Random Posts

MKUU WA MKOA WA MBEYA APANIA KUBORESHA ELIMU MKOA WA MBEYA

Aandaa kongamano la Elimu Mkoa wa Mbeya 
 Ni mjadala wa wazi na wadau wa Elimu Kujadili changamoto za Elimu na mikakati YA kukabiliana nazo 
Lengo ni kuongeza Ufaulu na kuboresha Elimu 
 Asema kushusha VYEO wakuu wa Shule siyo  suluhisho kuna mambo mengine yapo nje YA uwezo wao
Kwa umuhimu wa Elimu amewakaribisha wadau wa Elimu kujadili kwa kina changamoto zilizopo na kuweka MIKAKATI YA kuboresha elimu na hatimaye Mkoa wa Mbeya uwe Mkoa wa Mfano ikiwemo kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha juu

Post a Comment

0 Comments