Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa Fukayosi wilaya
ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa
maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisiliza changamoto za wakulima na wafugaji katika
kjijiji cha Fukayosi
wilaya ya Bagamoyo
mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna
ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitoa maagizo kwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe.
Maggid Mwanga baada ya kuongea na
wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye
kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na
wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo
aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua
migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam
akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017.
PICHA NA IKULU





0 Comments