Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa
pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim kuashiria uwekaji wa jiwe la
Msingi katika Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za Juu Ubungo Interchange
jijini Dar es Salaam. Pembeni kulia ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipiga
makofi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuzindua mitambo na
magari yatakayotumika katika ujenzi wa makutano ya barabara za juu za Ubungo
(Ubungo interchange) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni
wake Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakimsikiliza Kaimu Mtendaji Mkuu
wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Crispianus Ako aliyekuwa
akielezea nama ya ujenzi huo makutano ya barabara za juu za Ubungo(Ubungo
interchange) zitakavyokuwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim pamoja na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati wakielekea kuweka jiwe
la msingi ujenzi wa makutano ya barabara
za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa
Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakiwapungia wananchi mkono wakati wakielekea
kuweka jiwe la msingi ujenzi wa makutano ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati wakiwa ndani ya moja
ya basi la DART wakati wakitokea kituo kikuu cha BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo
kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Makutano ya barabara za juu
Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo wakati akiwa ndani ya basi la Mwendokasi pamoja na Rais wa Benki ya Dunia
Dkt. Jim Yong Kim (anayetazama kadi yake ya DART) wakati wakitokea kituo kikuu
cha BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi
wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi hawapo
pichani kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ya
barabara za juu Ubungo interchange,
Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia
Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati wakiagana na wananchi wa Kivukoni hawapo pichani kabla ya kupanda Basi la Mwendokasi (DART) kuelekea Ubungo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi Mradi wa Makutano ya barabara za juu za Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim
mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa
Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipanda basi la DART-Maarufu kama Mabasi ya
Mwendokasi katika eneo la Kivukoni wakati akielekea Ubungo kuhudhuria sherehe
za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu
Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa ndani ya basi la Mwendokasi wakati akielekea
Ubungo kuhudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa
Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya Wananchi wakifatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka
jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo
interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam-
PICHA NA IKULU



















0 Comments