
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (MB), (kulia), akipeana
mkono na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa
Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (katikati), baada ya kubadilishana Hati ya
Mkopo wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-
Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi
wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam.

Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad
Al-Omar (kushoto), wakisaini mkataba wa makubaliano ya mkopo wa wa riba
nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-
Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi
wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam..

Baadhi
ya wajumbe walioongozana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa
Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (hayupo pichani)
wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya mkopo wenye
masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya
Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika
ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.

Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (mbele kulia)
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa barabara ya
Nyahua-Chaya, itakayojengwa kwa kiwango cha lami baada ya kupata fedha
kutoka kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait.

Wajumbe
kutoka Tanzania wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya
mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa
barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha
lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.

Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa tatu kushoto)
na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait
Bw. Hamad Al-Omar (wa tano kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na
Viongozi wengine kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Maafisa wa Serikali ya Kuwait, baada
ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni
109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa
Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na
Mipango jijini Dar es salaam.

Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa pili kulia) na
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw.
Hamad Al-Omar (wa pili kushoto) wakiondoka baada kusainiwa kwa mkataba
wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa
barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha
lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es salaam.

Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na wajumbe
kutoka Kuwait wakijadili jambo baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo
wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa
barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha
lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
0 Comments