Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako
(kulia) akielekea kwenye ukumbi kwaajili ya kuzindua Bodi mpya ya
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo jijini Dar es Salaam (kushoto) Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA ) Graceana Shirima .
Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) wakiwa wamejipanga
kumpokea mgeni rasmi Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce
Ndalichako wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Profesa. Maurice Mbago akizungumza.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA ) Graceana Shirima akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako
akizungumza na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
leo Jijini Dar es Salaam wakati akizindua Bodi hiyo mpya (kulia) Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA ), Graceana Shirima na
kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Profesa.
Maurice Mbago
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako
(kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Profesa. Maurice Mbago mwongozo wa kutekeleza majukumu ya bodi mpya.
Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na watendaji wa Mamlaka hiyo wakishuhudia uzinduzi huo.
Waziri
wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwa kwenye
picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na
watendaji wa Mamlaka hiyo.











0 Comments