Weusi wametangazwa Jumanne kuwa mabalozi wapya wa Airtel Tanzania.
Wametangazwa kuwa mabalozi wa huduma mpya ya kampuni hiyo iitwayo
HATUPIMI BANDO.
Kundi hilo linaloundwa na Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako
limechukua nafasi hiyo kutoka kwa kundi la Navy Kenzo ambao walikuwa
mabalozi wa huduma nyingine mwaka jana.

0 Comments