Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi. Harusi Said Suleiman akitoa maelezo kwa
wandishi wa habari kuhusu mapambano zidi ya Kifua Kikuu katika ukumbi wa Wizara
ya Afya.
Mkurugenzi kinga na elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdalla akitoa
maelezo kwa wandishi wa habari na kumkaribisha Naibu Waziri wa Afya Zanzibar
Bi. Harusi Said Suleiman katika mkutano wake na wandi wa habari uliofanyika
ukumbi wa Wizara hiyo Mjini Unguja.
Baadhi ya wandishi wa habari waliofika katika mkutano wa Naibu Wizara ya Afya
wakifuatilia mkutano huo.
Mkuu wa kitengo cha Kifua Kikuu (TB) Zanzibar Dkt. Khamis Abubakar Suleiman
akijibu maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari katika mkutano wao.
Picha na
Makame Mshenga-Maelezo




0 Comments