Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan akifuatana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
Sheikh Sharif Abdulrahman Muhidin akisoma Quran ya Ufunguzi wa Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo,
Viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume (wa pili kushoto) wakiwa katika kisoma Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kisomo cha Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Wake wa Viongozi wakuu wa Kitaifa wakiwa katika kisomo cha Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamned Shein,[Picha na Ikulu.] 07/04/2017.









0 Comments