Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Masuala ya Ukimwi, Mhe. Stanslaus Nyongo (Katikati) akiongoza semina ya ukimwi
kwa Wabunge wote iliyofanyika leo katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Taifa la wanaoishi
na Virusi vya Ukimwi nchini Ndg. Deogratius Rutatwa, akizungumza wakati wa
semina ya ukimwi kwa Wabunge wote iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Bunge Mjini
Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments