Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli akiwa
katika Gari maalum na kuwapungia mkono Wananchi mbali mbali wa Mji wa
Dodoma wakati wa sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanzania
zilizofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri.
Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa TRanzania JWTZ,pamoja na Wananchi mbali
mbali wa Mji wa Dodoma wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri,wakati wa sherehe
za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika
leo,Mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna
Pombe Magufuli.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka
53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika
leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Johna Pombe Magufuli.
[Picha na Ikulu.]



0 Comments