Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti Masjidi
Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini
"B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi
Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi(katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjidi
Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini
"B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi
Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto aliyesimama) alipotoa nasaha zake baada ya
Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge
kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,uliojengwa
kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya
usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa
tatu kushoto),
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya
Kiislamu wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji
cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini
Unguja,katika sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo uliozinduliwa leo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi
Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto)
Baadhi ya Waislamu na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa
Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge
kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimskiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha zake baada ya Uzinduzi wa
Msikiti huo,ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki
Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto)
Baadhi ya Viongozi Mashekhe na Waislamu mbali mbali walioalikwa katika
sherehe za Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji
cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini
Unguja,wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha
zake baada ya Uzinduzi wa Msikiti huo,ambao umejengwa kwa ufadhili wa
Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti
Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya
Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti
huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (kulia) akipokea Funguo za Msikiti kutoka Msimamizi wa
Ujenzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge
kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Mohamed
Raza Daramsi (kushoto) baada ya Uzinduzi ulifanyika leo Kijijini
hapo,Msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki
Nchini Dubai,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Fadhil Soraga wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti
Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya
Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, alipofika kuuzindua msikiti
huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini
Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed
Raza Daramsi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Donge,pia
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Dkt.Khalid Salum Mohamed wakati
alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika
Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini
Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa
Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua wasili Msikiti
Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya
Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa
Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Wanafunzi wa kikundi cha dufu katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya
Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,wakimuongoza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(hayupo pichani) wakati alipofika kuuzindua Msikiti Masjidi
Madinatul Munawara katika Kijiji hicho uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi
Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Pichani jengo la Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha
Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja
uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai
ambapo umezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,chini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi,[Picha na Ikulu.] 28/04/2017.

0 Comments