Subscribe Us

header ads

UJUMBE WA SHIRIKA LA MAENDELEO LA UMOJA WA MATAIFA UNDP

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Alvero Rodriguez Mratibu wa  Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini pia Mwaklilishi Mkaazi wa Shirika la Maendeleo la Umoaja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania akiongoza Ujumbe wa Wawakilishi wa Mashirika ya  Umoja wa Mataifa yanayofanyia kazi zake Nchini walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Wawakilishi wa Mashirika ya  Umoja wa Mataifa yanayofanyia kazi zake Nchini ukiongozwa  na Bw.Alvero Rodriguez  Mratibu wa  Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini pia  Mwaklilishi Mkaazi wa Shirika la Maendeleo la Umoaja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania   walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
[Piccha na Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments