Random Posts

UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa  CCM wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis (wa pili kulia) katika viwanja vya Z. Ocean  Hotel iliyopo kihinani Wilaya ya Magharibi Jimbo la Mfenesini leo. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8) aina ya Dayna ambazo Rais amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika  katika Matawi ya Chama Jimbo la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa  Mbunge Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake wakati  sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake wakati  sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja
 Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mfenesini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane (8)za CCM zilizokabidhiwa leo kwa Rais ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya  kwa Wananchi hafla iliyofanyika katika ukumbi wa   Z. Ocean Hoteli  iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanaCCM wa Jimbo la Mfenesini wakati alipowasili katika  viwanja vya Z. Ocean Hoteli  iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Magharibi leo katika sherehe za Uzinduzi wza Mradi wa Gari nane(8) za CCM  zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya  kwa Wananchi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis alipowasili  katika viwanja vya   Z. Ocean Hoteli  iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari nane (8) za Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo
Gari nane (8) aina ya Dyna  zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya Chama cha CCM katika jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za kitanzania Millioni Mia moja na Tisiini na Mbili.

[Picha na Ikulu] 23/o4/2017.

Post a Comment

0 Comments