Random Posts

VIDEO:TAKUKURU MKOA WA RUVUMA WAOKOA SHILING 91811768 ZILIZOKUWA ZINATAKATISHWA NA WAJANJA

Ofisi ya kupambana na rushwa mkoa wa Ruvuma TAKUKURU kwa kipindi cha miezi tisa toka julai 2016 hadi marchi mwaka huu imeokoa fedha kiasi cha shilingi 91,811,768.91 zilizokuwa zimetolewa katika miradi mbalimbali,iliyokuwa inaviashiria vya ubadhirifu habari kamili hiyo hapa chini

Post a Comment

0 Comments