Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania
Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Taifa ya
Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo
iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la
kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON
U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Mwenyekiti wa
Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Taifa
ya Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla
hiyo iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la
kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON
U17 nchini Gabon. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA
Tanzania Kassim Majaliwa na Rais wa TFF Jamal Malinzi, na Mwenyekiti wa Kamati
ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania
Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Mpira wa miguu kutoka kwa Rais wa TFF Jamal
Malinzi wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17
(Serengeti Boys) jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF
kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za
kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania
Kassim Majaliwa akimpongeza Makamu wa Rais wa Simba SC Geofrey Nyange Kaburu
mara baada ya kununua picha ya Timu ya Serengeti Boys, wakati wa hafla ya
kuchangia timu ya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF
kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za
kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka
kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti
Boys Charles Hillary na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Omary Singo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania
Kassim Majaliwa akipeana mkono na Balozi Mdogo wa Mauritius Syed Abbas Rizvi wakati
wa hafla ya kuchangia timu ya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo
iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la
kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON
U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais
wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles
Hillary na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Omary Singo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kassim Majaliwa akimpongeza Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangwe Blog, John
Bukuku mara baada ya kuchangia shilingi laki mbili wakati wa hafla ya kuchangia
timu ya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa kwa lengo la
kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON
U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais
wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles
Hillary na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Omary Singo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kassim Majaliwa akiweka saini katika mpira amabo umenunuliwa na aliyewahi kuwa
Miss Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys, Bi.
Hoyce Temu wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar
es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia
mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti
wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kassim Majaliwa akimpongeza aliyewahi kuwa Miss Tanzania ambaye pia ni mjumbe
wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys, Bi. Hoyce Temu mara baada ya kumkabidhi
mpira alioununua wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana
Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za
kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini
Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF
Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kassim Majaliwa akimpongeza Afisa Masoko wa Benki ya DTB, Baguma Ambary baada ya
kuchangia Serengeti Boys wakati wa hafla ya kuchangia timu hiyo jana Jijini Dar
es Salaam. DTB benki ndiyo benki rasmi ya TFF ambapo pia Akaunti maalum ya
kuchangia Serengeti Boys imefunguliwa.Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal
Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe,
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kassim Majaliwa akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya taifa, Mzee
Manara wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar es
Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia
mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary (kushoto)
wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji
ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon.Kulia ni Rais wa TFF
Jamal Malinzi.
Picha ya pamoja.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

0 Comments