Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiasini kitabu cha wageni alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwaajili ya kukutana na watendaji wa Shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkururgenzi Mtendaji wa shirika Dkt Ayoub Ryioba.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kulia) akimsikiliza Fundi Mitambo wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bw.Kasimir Chitenda (alievaa fulana) wakati alipofanya ziara katika shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Mkururgenzi Mtendaji Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt Ayoub Ryioba akitoa maelezo kuhusu utendaji wa Shirika kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia ) pamoja na watendaji wa shirika hilo wakati wa Ziara ya Mhe. Waziri leo Jijini dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia.) akizungumza na Bodi pamoja na watendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipofanya ziara katika shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) akiangalia jinsi vipindi vya luninga vinavyotengenezwa alipotembelea Azam Media leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akibonyeza kitufe katika luninga kinachoonyesha msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara alipofanya ziara Azam Media leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wasikilaji wa Uhai FM alipofanya ziara Azam Media leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Azam Media na baadhi ya Watendaji wa Wizara yake alipofanya ziara katika Kampuni hiyo leo Jijini Dar es Salaam.











0 Comments