Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Chama cha Ngoma na
Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao Ofisini kwake
Mjini Dodoma kujadili masuala mbalimbali ya Sanaa za Ngoma na Muziki Asili
Tanzania Leo April 21, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Ngomana Muziki
wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) Wanne Salim Kutoka Kikundi cha Wanne Star
akieleza changamoto mbalimbali zinazowakabili wasanii wa Ngoma na Muziki
Asili kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison
Mwakyembe wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma Leo April 21, 2017.
Katibu wa Chama cha Ngoma na Muziki wa
Asili Tanzania (CHANGAMATA) Richard Muro
akifafanua jambo kwa Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma
Leo April 21,2017.
Mmoja wa wasanii kutoka Chama cha Ngoma
na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) Zuhura Khatib akimueleza jambo Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe wakati
walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma Leo April 21, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya Ngoma kutoka kwa Chama cha Ngoma
za na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao Ofisini
kwake Mjini Dodoma kujadili masuala mbalimbali ya Sanaa za Ngona na Muziki
Asili Tanzania Leo April 21, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chama cha Ngoma za na Muziki wa
Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao Ofisini kwake Mjini Dodoma
kujadili masuala mbalimbali ya Sanaa za Ngona na Muziki Asili Tanzania Leo
April 21, 2017.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.






0 Comments