Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwasili katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha
saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip
Mpango akiwasilisha Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali kuhusu Taarifa za Fedha za Serikali kuu , Fedha za Miradi ya Maendeleo, Fedha za Mashirika ya Umma na
majibu ya hoja na mpango wa kutekeleza mapendekezo
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma kwa mwaka
wa Fedha 2015/2016.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Suleimani Jafo akiwasilisha Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Ofisi ya Rais (TAMISEMI,UTUMISHI NA UTAWALA BORA) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika
kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13,
2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.
George Simbachawene akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha saba
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee
na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi juu ya Usimamizi
wa Mikataba iliyoingiwa kati ya Serikali na Hospitali za Binafsi Nchini katika
kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13,
2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack
Kamwelwe akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi katika Usimamizi wa
uchukuaji wa Maji kutoka Vyanzo vya Maji katika kikao cha saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Ufundi Mhe.
Stella Manyanya akiwasilisha Ripoti ya
Ukaguzi wa Ufanisi juu ya Uzalishaji wa Wahitimu katika Sekta ya Mafuta na Gesi
Asilia katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt
Medrid Kalemani akijibu hoja mbalimbali
za wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.
Mbunge wa Bunda Mjini (CHADEMA) Ester
Bulaya akiuliza swali katika kikao cha
saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter
Muhongo akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.
Mbunge wa Mafia (CCM) Mhe. Mbaraka Kitwana
Dau akiuliza swali katika kikao cha saba
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia
Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angelah Kairuki katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe.
Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Mbunge wa Mtama Mhe. Nape Moses Nnauye
katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 13, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.
Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Mwigulu Nchemba katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Ujumbe kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali wakiongozwa na Mkaguzi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad wakifuatilia kikao cha saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika
kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13,
2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akitoka katika ukumbi wa Bunge mara baada ya kuhairisha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017 kwa mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka.
Baadhi ya wabunge wakitoka katika Ukumbi wa
Bunge mara baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job
Ndugai kuhairisha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017 kwa mapumziko ya Sikukuu ya
Pasaka.
Picha Zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.
























0 Comments