Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza kikao cha tano cha mkutano wa saba
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Naibu
waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji
Mhe. Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano
cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Mbunge wa Mwibara(CCM) Mhe. Kangi Lugola
akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Fakharia Shomar
Khamis (CCM) akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mh. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Mbunge wa Ukonga (CHADEMA) Mwita Waitara akiuliza swali katika
kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Uvuvi na Ufugaji
Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano
cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Mbunge wa Urambo (CCM) Magreth Sitta
akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mhe. Peter Msigwa akiuliza swali katika kikao cha tano cha
mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia na
Ufundi Mhe. Stella Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Mbunge wa Shaurimoyo (CCM), Mattar
Ali Salum akiuliza swali katika
kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bungela Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera Bunge Ajira kazi na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama(kushoto)
wakati wa kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mjini Dodoma katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George
Masaju.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia wambura(Kushoto) na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia
na Ufundi Mhe. Stella Manyanya
wakifuatilia kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera Bunge
Ajira Kazi na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki katika
kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wakifuatilia kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Wajumbe nane kutoka Baraza la Wawakilishi
Zanzibar wakifuatilia shughuli za kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma























0 Comments