Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI)
Mhe. Suleimani Jafo akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.
Edwin Ngonyani akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge wa Mwibala (CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 19, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Morogoro (CCM) Mhe.
Christina Ishengoma akiuliza swali
katika kikao cha tisa cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Mhe. Susan Kolimba akijibu maswali ya wabunge
mbalimbali katika kikao cha Tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Naibu Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu maswali ya wabunge
mbalimbali katika kikao cha Tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge wa Chilonwa (CCM) Mhe. Joel Makanyanga
akiuliza swali katika kikao cha
tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo
Makani akijibu maswali ya wabunge
mbalimbali katika kikao cha Tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge wa Viti Maalum Arusha (CCM) Mhe.
Catherine Magige akiuliza swali katika kikao cha tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 19, 2017.
Mbunge wa Mikumi (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule
akiuliza swali katika kikao cha
tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Mbunge wa Busokelo (CCCM) Mhe. Fredy Mwakibete
akiuliza swali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha
Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura
wakijadiliana jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge
katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 19, 2017.
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles
Tizaba wakijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe.
Charles Mwijage katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,
2017.
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO



















0 Comments