Katibu
Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya
Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha Wageni alipofika
katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye
uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) lililopo Ngaramtoni
Mkoani Arusha.
Mkurugenzi
wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS
Children Villages Tanzania Bw.Anatory Rugaimukamu akimueleza jambo Katibu Mkuu
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya
Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga wakati wa ziara ya kuangalia namna shirika
hilo linavyofanya kazi.
Mkurugenzi
wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS
Children Villages Tanzania Mkoa wa Arusha Bw.Francis Msollo (kulia) akimueleza
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga namna shirika hilo lilivyofanikisha
kutimiza ndoto za vijana wengi waliolelewa kituoni hapo Katikati ni
Mkurugenzi wa Shirika hilo Tanzania
Bw.Anatory Rugaimukamu.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya
Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiongea na viongozi wa Shirika
linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS Children Villages
Tanzania na kuwapongeza kwa jitihada wanazozifanya katika kuhakikisha wanakuza
watoto na kutimiza ndoto zao,katikati ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Tanzania Bw.Anatory
Rugaimukamu na kulia ni Mkurugenzi wa Shirika Mkoa wa Arusha Bw.Francis Msollo.
Baadhi
ya watoto wakiwa katika shule iliyo ndani ya Kijiji cha Watoto chini ya shirika
linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS Children Villages
Tanzania
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na watoto katika kijiji
cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages alipofanya ziara
katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani Arusha
Mama
Mlezi katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children
Villages Bi. Cylichelia Byabato akimuonesha Katibu Katibu Mkuu Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya
Jamii)Bi. Sihaba Nkinga sehemu ya malazi ya watoto katika Kijiji hicho leo
Ngaramtoni Mkoani Arusha.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akifurahia jambo na watoto katika
kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages alipofanya
ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani Arusha
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akila chakula cha mchana na watoto
katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages
alipofanya ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani Arusha.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akitoa boksi la sabuni kwa mlezi wa
moja ya familia inayoongoza na vijana Leo Mkoani Arusha.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na vijana wawili
wanaoongoza familia ambapo aliwapongeza kwa hatua wanazozifanya katika
kuisimamia familia.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee
na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa Pili kutoka kushoto)
Mkurugenzi Maendeleo ya watoto Margaret Mussai(wa Pili kutoka kulia), Mkurugenzi
wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS
Children Villages Tanzania Bw.Anatory Rugaimukamu (wa kwanza kulia) na Mkurugenzi
wa Shirika SOS Children Villages Tanzania Mkoa wa Arusha Bw.Francis Msollo
(kulia) wakienda kuangalia makazi katika kijiji cha watoto.

0 Comments