Mwenyekiti wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo
wakati akiongoza kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman
Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter
Muhongo akizungumza jambo na Mbunge wa Nkasi Mhe.Ally Kessy katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini
na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin
Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 15, 2017
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter
Muhongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akizungumza jambo na
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji
Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na
tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe.Dkt Susan Kolimba na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani wakimskiliza Mbunge wa Makete(CCM) Mhe.Prof
Adamson Sigalla kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
Picha Zote na Daudi
Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA










0 Comments