MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ametembelewa
ofisini kwake na Kamanda wa kikosi cha maji Nchini Australia Cameron
Steily ambapo pamoja na mambo mengine , ametumia nafasi hiyo
kumkaribisha mwenyeji wake jijini hapa. Kamanda Cameron atakuwepo
Jijini hapa hadi Mei 15.
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia
Cameron Steily akimkabizi zawadi Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam
Isaya Mwita leo alipomtembelea ofisini kwake leo.
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily
akimsisitiza jambo Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita
alipomtembelea ofisini kwake leo. Meya Mwita alitumia nafasi hiyo
kumkaribisha jijini hapa.
PICHA ZOTE NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJI


0 Comments