Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia
Ackson (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Taasisi ya Uhandisi na Usanifu
Mitambo Tanzania (TEMDO) akizungumza jambo wakati wa Maonyesho ya baadhi ya Mitambo yao, katika tukio lililofanyika leo
katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. wa pili kulia, ni Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Mheshimiwa
Charles Mwijage.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments