Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson
(kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la
kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa
nchini lijulikanalo kama Jhpiego,
wakiongozwa na Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso
(kushoto), Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt. Alain Damiba (katikati) katika kikao
kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
aibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto)
akizungumza jambo wakati ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali
linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, lilipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma. katikati ni Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt. Alain Damiba.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments