Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za
Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo
nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za
Umma na Binafsi wakiwa wanapita mbele yake kwa njia ya maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani
Kilimanjaro. Wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera
Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais na Utawala bora Angela Kairuki pamoja na Rais wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya.
Sehemu ya Wafanyakazi waliofika kwenye Sikukuu
ya Wafanyakazi Duniani katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro.
Sehemu ya Wafanyakazi waliofika kwenye Sikukuu
ya Wafanyakazi Duniani katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono wakati wa wimbo wa Mshikamano daima
pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista
Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki, Rais wa
Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya
pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa amenyanyua juu mikono mara baada ya kuimba wimbo wa
Mshikamano Daima pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye
ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela
Kairuki Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA)
Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akitoa salamu za
Mkoa kwenye Sikukuu hiyo ya Wafanyakazi Duniani.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge,
Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama akitoa salamu katika Sikukuu ya
Wafanyakazi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya akizungumza katika Sikukuu ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika Kitaifa mkoani
Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika kilele cha Sikukuu
ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo
cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya
kumaliza kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi
mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwashukuru Wafanyakazi mbalimbali wakati akiondoka katika
uwanja wa Ushirika mjini Moshi mara baada ya kuhutubia katika kilele cha
Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.
PICHA NA IKULU
















0 Comments