Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo akitokea
mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na
wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo akitokea
mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na
wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam na kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya
mkoa huo Kamishna Simon Sirro baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo akitokea mkoani
Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, leo tarehe 02 Mei 2017, amemaliza ziara ya siku Tatu mkoani
Kilimanjaro, ambapo akiwa mkoani hapa pamoja na mambo mengine alikuwa
mgeni rasmi katika Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani – Mei
Mosi.
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro – KIA, Rais
Magufuli ameagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo wakiongozwa na Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Mecki Saidick..
Jaffar Haniu,
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU,
Moshi, Kilimanjaro.
02 Mei, 2017





0 Comments