Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akitembezwa maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akioneshwa
sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati
alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji
wake na kuongea na watumishi leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt
Ayoub Rioba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika moja ya studio za Televisheni za Shirika
la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea
leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.












0 Comments